kwa utatuzi na kujifunza
Je? unauelewa juu ya utengenezaji wa vifaa vya Kielectronics? na ungepenga kuunda Amplifier kwa matumizi yako binafsi? ok endelea kufuatilia blog hii ili upate kujifunza namna ya kuunda amplifier zenye uwezo wa aina tofauti tofauti. na vilevile kwa wale wenye vifaa vya kielectronics vyenye matatizo vinavyoitaji utatuzi. karibuni sana.
Comments