angalia namna ya kutatua tatizi la Tv kutoa mstari mlalo katikati ya kioo ni kwa TV chogo


Comments

Unknown said…
Tv yangu ina shida ilianza kuleta picha nusu pole pole na mwisho ikazima kabisa shida ni nn
Omben@nyakyando said…
TV yangu ilikuwa inatumia umeme baadaye ikapelekwa mfumo wa solar ikaabza kuchora mstari katikati bill kuonesha picha tatizo ni Nini na nawezaje kulitatua
jaribu kuiweka kwenye umeme uone kama ilo tatizo linaloonekana ukiweka kwenye solar bado inaonekana then nirudishie feed back ili nikusaidie
mstari wenyewe wakulala au kusimama
Unknown said…
Mstali wa kusimama kwenye tv ya flat tatizo nini ni plazima
Unknown said…
da kama mim tu
Kagusa said…
TV yangu singsung ya chogo INAONESHA mstari wa kulala. je naweza kutatuaje TATIZO hili.. naomba msaada.
Kagusa said…
TV yangu singsung ya chogo INAONESHA mstari wa kulala. je naweza kutatuaje TATIZO hili.. naomba msaada.
Unknown said…
Dah man niyakuxmama alaf ya njano
unaweza kupiga picha na kunitumia niione ili nikupe solution
Unknown said…
TV yangu ya chogo inaonyesha mstari wa mlalo,natatuaje hili tatizo
jaribu kuangalia capacitor zilizoko vertical ic kama ziko vizuri badii ic ya vertical yenye
Unknown said…
Tv yangu ni Sony Bravia 49 inch flat inatatizo la mstari wakusimama kati kisha kioo kikaweka giza kabisa inasikia sauti tu picha haioneshi tatizo ni nini na je!, inaweza kupona?
steve said…
tv yangu ya flat aborder inch 19 nilibadilisha sakiti mpya ikaanza kubadilisha badilisha rangi hivi tatizo liko wapi
Unknown said…
Tv yangu aina ya Mr UK ina choral mstari wa blue katikati ya kioo tatizo lake mini?
Anonymous said…
Hata yang pia
Anonymous said…
Vp ulipata ufumbuzi kujua nini chanzo

Popular posts from this blog

SONY Trinitron KVG14Q2 Repair Help FROM MY SERVICE TABLE TODAY