kwa utatuzi na kujifunza

Je? unauelewa juu ya utengenezaji wa vifaa vya Kielectronics? na ungepenga kuunda Amplifier kwa matumizi yako binafsi? ok endelea kufuatilia blog hii ili upate kujifunza namna ya kuunda amplifier zenye uwezo wa aina tofauti tofauti. na vilevile kwa wale wenye vifaa vya kielectronics vyenye matatizo vinavyoitaji utatuzi. karibuni sana.

Comments

Hubs said…
Ndio ninayo ila sio sana na Nina penda kujifunza zaid

Popular posts from this blog

SONY Trinitron KVG14Q2 Repair Help FROM MY SERVICE TABLE TODAY