kazi yangu mpya ya amplifier
nilijaribu kuuna amplifier ya watt kuuanzia kati 50w na 75w inategemea na aina ya transitor utakazo tumia. amplifier yangu nilitumia transitor 2c5200 na A1943 inanguvu ya kutosha nitawatumia picha zake mzione ni nzuri inasauti iliyotulia.
Comments