TATIZO KATIKA PRINTA YA EPSON

Si ajabu kwa watu wanaotumia printa aina ya epson kukutana na tatizo hili baada ya kutumia printa yake kwa muda fulani.
           Kuna kipindi nilihitaji kununua printa kwa ajili ya kufanyia shughuli ya biashara ya kutoa copy, kuprinti document na kusafisha picha. Niliombaushauri kwa mtu ambaye ni mzoefu katika shughuli hii, baada ya kuongea naye alinishauri ni nunue printa aina ya epson, ambayo inauwezo wa kuscan, kuprinti na kutoa kopi lakini alinishauri isingekua vizuri kutumia printa hiyo kutoa kopi za kawaida na kuprinti picha kwa sababu nikifanya hivyo upelekea printa hii kufa baada ya  muda mfupi. Baada ya kufuatilia nimegundua si kweli inakufa bali inawahi kukumbwa na tatizo hili.
           Kwa nini nasema hivyo, kwa sababu ukiwa unafanya biashara ya kusafisha picha na kutoa kopi utakuja kugundua unapatawateja wengi zaidi wa kutoa kopi kuliko kusafisha picha. hii upelekea printa yako kuwahi kupatwa na tatizo hilo ukitofautisha na mtu aliyekuwa akitumia kusafishia picha tu. lakini hii haimaanishi kuwa printa yako haitapatwa na tatizo hili, itapata japokuwa kwa kuchelewa kwa sababu printa zimesetiwa kiwango maalumu cha karatasi ikifikisha hiko kiwango printa inakumbwa na hilo tatizo.

        Je! ungependa kupata utatuzi wa printa yako ambayo imekumbwa na hili tatizo? ni rahisi wasiliana nami kupitia hii blog.   

Comments

Popular posts from this blog

SONY Trinitron KVG14Q2 Repair Help FROM MY SERVICE TABLE TODAY